
Gurudumu la Uchumi
Subscribe in ParasocialFree on the App Store for iPhone, iPad and Mac. Once it is installed, tap this link again and the show is yours. Already have it? Open in Parasocial.
About
Fahamu masuala kadha wa kadha kuhusu uchumi kama vile, namna ya kupambana na umaskini, mfumuko wa bei, kushamiri kwa matumizi ya dola na athari za kuyumba kwa uchumi wa dunia kwa nchi za Afrika. Mada hizi zinafanyiwa utafiti wa kina na zinazungumzwa kwa lugha rahisi inayoeleweka ili kukufanya uelewe na usichoke kusikiliza .
Also on
Recent episodes
- Maisha mapya: Jinsi akina mama vijana wanavyobadilisha ujuzi kuwa fursa
- Umeme unaweza kuwa injini ya ukuaji wa uchumi Afrika Mashariki?
- Goma: Wanawake wapambana na umaskini licha ya changamoto za usalama.
- Je, Nchi Inaweza Kuendelea Bila Dira ya Maendeleo?
- Sehemu ya Pili: Hatifungani ni nini na kwanini inakuhusu
- Hatifungani za serikali na hazina: Kwa nini zinahusu kila mwananchi?
- Migogoro ya kimataifa inavyoathiri uchumi wa wananchi Afrika
- Sarafu za kidijitali ‘Cryptocurrency’ uwekezaji wa kisasa wenye fursa na hatari
- Kodi na Maendeleo: Je, tunapata thamani ya kodi tunazolipa?
- Je, kukopa kunasaidia ukuaji wa uchumi au kunaleta hatari za siku zijazo?