
Muziki Ijumaa
Subscribe in ParasocialFree on the App Store for iPhone, iPad and Mac. No subscription needed. Once it is installed, tap this link again and the show is yours. Already have it? Open in Parasocial.
About
Makala ambayo inakupa nafasi ya kujua masuala mbalimbali ya Muziki na Burudani. Ndani ya makala haya utapata taarifa za wanamuziki, historia zao na bila kusahau mahojiano na wanamuziki mbalimbali. Hii ni fursa ya pekee kwa wasikilizaji kujiliwaza baada ya kazi za juma zima kupitia burudani ya muziki. Makala ya muziki ijumaa pia itakuwezesha kufahamu wasanii kutoka sehemu mbalimbali duniani na kujua wanafanya nini.
Also on
Recent episodes
- Kenya : Wachira Wa Karangatha na Pricilla
- Burudani ya Muziki Ijumaa na Billy Bilali Septemba 25 2026
- Burudani ya Muziki ijumaa na Billy Bilali Julai 24 2026
- Burudani ya Muziki Ijumaa na Mtangazaji asiependa makuu Billy Bilali Juni 12 2026
- Pata Burudani ya Muziki Ijumaa rfi Kiswahili na Billy Bilali
- Burudani ya Muziki Ijumaa na Ali Bilali mtangazaji wako asipenda makuu
- Makala Muziki Ijumaa, pata burudani
- Burudani ndani ya makala Muziki Ijumaa
- Msikie galacha wa Muziki wa Rhumba Fally Ipupa na Okelleo Max kutoka Kenya
- Safari ya vibao vya Klasiki Kutoka Marekani hadi Afrika Mashariki na Kati