
JE, UMEZALIWA UPYA KWELI KWA MAJI NA KWA ROHO? [Toleo Jipya Lililorekebishwa]
- Religion & Spirituality · Christianity
Free on the App Store for iPhone, iPad and Mac. No subscription needed. Once it is installed, tap this link again and the show is yours. Already have it? Open in Parasocial.
About
Somo kuu la kichwa hiki ni "kuzaliwa mara ya pili kwa Maji na Roho." Kina upekee kwenye mada hii. Kwa maneno mengine, kitabu hiki kinaeleza waziwazi maana ya kuzaliwa mara ya pili na jinsi ya kuzaliwa mara ya pili kwa maji na Roho kwa mujibu wa Biblia. Maji yanaashiria ubatizo wa Yesu katika Mto Yordani na Biblia inaeleza kuwa dhambi zetu zote zilipitishwa kwenda kwa Yesu wakati alipobatizwa na Yohana Mbatizaji. Yohana Mbatizaji alikuwa mwakilishi wa wanadamu wote na mzao wa Haruni, Kuhani Mkuu. Haruni aliweka mikono yake juu ya kichwa cha mbuzi wa Azazeli na kupitisha dhambi zote za...
Also on
Recent episodes
- Dibaji
- 1. Lazima Kwanza Tujue Dhambi Zetu ili Tukombolewe (Marko 7:8-9, Marko 7:20-23)
- 2. Binadamu huzaliwa wakiwa wenye dhambi (Marko 7:20-23)
- 3. Tukifanya mambo kwa mujibu wa Torati, je, inaweza kutuokoa? (Luka 10:25-30)
- 4. Ukombozi wa Milele (Yohana 8:1-12)
- 5. Ubatizo wa Yesu na Upatanisho wa Dhambi (Mathayo 3:13-17)
- 6. Yesu Kristo Alikuja kwa maji, kwa damu, na kwa Roho (1 Yohana 5:1-12)
- 7. Ubatizo wa Yesu ni Uhalisia wa Wokovu kwa Wenye Dhambi (1 Petro3:20-22)
- 8. Injili ya Upatanisho Tele (Yohana 13:1-17)
- 9. Shuhuda za Wokovu