Roho Mtakatifu akaaye ndani yangu - Njia ya tahadhari kwako katika kumpokea Roho Mtakatifu

The New Life Mission

Subscribe in Parasocial

Free on the App Store for iPhone, iPad and Mac. No subscription needed. Once it is installed, tap this link again and the show is yours. Already have it? Open in Parasocial.

About

Katika Ukristo nyakati hizi, mojawapo ya mambo yanayozungumziwa mara nyingi ni kuhusiana na habari za "wokovu toka dhambini" na "kupokea uwepo wa Roho Mtakatifu". Hata hivyo ni watu wachache walio na ufahamu ulio sahihi wa mambo haya mawili, ingawa ukweli ni kwamba haya ni mabo mawili muhimu kuhusiana na maswala ya Ukristo. Mbaya ni nini, bado hatujaweza kupata maandiko yanayo tufunza kwa uwazi juu ya mambo haya yaliyo tajwa hapo juu. Wapo watunzi wa vitabu wa Kikristo walio wengi wakitukuza karama za Roho Mtakatifu au kuelezea maisha ya kujazwa na Roho. Lakini hakuna hata mmoja kati yao anaye thubutu kushughulika...

Also on

Recent episodes

  • 1. Roho Mtakatifu Hufanya kazi kupitia ahadi ya Neno la Mungu (Matendo 1:4-8)Jan 13, 2023 · 16 min
  • 2. Je, inawezekana mtu kumnunua Roho Mtakatifu kwa uwezo wake? (Matendo 8:14-24)Jan 13, 2023 · 57 min
  • 3. Mlimpokea Roho Mtakatifu mlipoamini? (Matendo 19:1-3)Jan 13, 2023 · 19 min
  • 4. Wale walio na imani sawa na Mitume (Matendo 3:19)Jan 13, 2023 · 26 min
  • 5. Je, unataka kuwa na Ushirika na Roho Mtakatifu? (1 Yohana 1:1-10)Jan 13, 2023 · 41 min
  • 6. Amini ili Roho Mtakatifu akae ndani yako (Mathayo 25:1-12)Jan 13, 2023 · 29 min
  • 7. Injili iliyo njema inayowezesha Roho Mtakatifu kukaa ndani ya wanao amini (Isaya 9:6-7)Jan 13, 2023 · 57 min
  • 8. Kupitia nani maji ya uzima ya Roho Mtakatifu hutiririka? (Yohana 7:37-38)Jan 13, 2023 · 47 min
  • 9. Injili ya ubatizo wake iliyo tutakasa (Waefeso 2:14-22)Jan 13, 2023 · 25 min
  • 10. Tembea katika Roho! (Wagalatia 5:16-26, 6:6-18)Jan 13, 2023 · 41 min

Website · RSS feed

Roho Mtakatifu akaaye ndani yangu - Njia ya tahadhari kwako katika kumpokea Roho Mtakatifu | Parasocial