
Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii
- News · Politics
Free on the App Store for iPhone, iPad and Mac. No subscription needed. Once it is installed, tap this link again and the show is yours. Already have it? Open in Parasocial.
About
Makala yanayochambua masuala na matukio mbalimbali yaliyotokea kwenye jamii kwa wiki nzima kwa kina, yanatoa fursa kwa msikilizaji kueleza hisia na mtazamo wake juu ya masuala yanayoendelea kutokea iwe ni katika uga wa uchumi na siasa duniani kote.
Also on
Recent episodes
- ADF yaua watu mjini Kantine-Aloya huko DRC, Lisu ahukumiwa miaka minne jela Tanzania
- ADF wajinufaisha na madini huko DRC, maadhimisho ya mwaka1 wa vurugu Tanzania
- Watu 11 wakwama katika jengo lililoporomoka jijini Nairobi, hali ya Ebola kuzua wasiwasi
- Rais wa zamani wa DRC aunda chama kipya cha uasi, wakenya wamkumbuka Raila
- Kenya hakuna mlipuko wa Ebola, ajali ya gari yaua 32 nchini Tanzania
- Uzinduzi wa kiwanda cha mafuta cha Dangote, na kifo cha Chivayo huko Zimbabwe
- Kiir avunja serikali kuelekea Uchaguzi mkuu wa Sudan Kusini, mapigano mapya yaanza nchini Ethiopia.
- Raia wa Burundi waondoka Kenya, mioto yaangamiza shule, kumbi za Harusi DRC
- Wanaharakati Kenya wadai kuachwa huru kwa Lisu na Besigye, Tshisekedi azuru Israeli
- Kujiuzulu kwa makamu wa rais Tanzania, Tshisekedi azindua mazungumzo ya kitaifa bila M23