
Yesaya Software Podcast
Subscribe in ParasocialFree on the App Store for iPhone, iPad and Mac. No subscription needed. Once it is installed, tap this link again and the show is yours. Already have it? Open in Parasocial.
About
Ebwana mambo vipi, jina langu ni Yesaya, kila wiki ninakuletea mfululizo wa vipindi kwa njia ya sauti yaani Podcast. Dhumuni langu ni kukuhabarisha, kukuelimisha na kukuletea mijadala mbalimbali kuhusu Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) na mimi nitajikita zaidi kwenye upande wa mifumo ya kompyuta.
Also on
Recent episodes
- Niliyofunza kwenye Komangamano la#SSAGDGSummit25 - Accra, Ghana 🇬🇭
- KotlinConf kwa Mara ya Kwanza Dar es Salaam - GDG Dar es Salaam
- Exploring Sarufi and Neurotech: A Conversation with Kalebu
- Switching/Sticking to Programming Languages
- Andika Ujumbe wa Msaaada Utakaojibiwa na Mtu Mwenye Followers Wengi
- Niliyojifunza kwenye #DevFestNairobi na Fursa zilizopo kwa Developers
- Mambo Matatu (3) Muhimu kwa Wanafunzi wa Mwaka wa Kwanza Chuo
- Nitumie Browser Gani?
- Usijisikie Vibaya Kugoogle
- Namna ya kutunza na kulinda taarifa za kadi mtandaoni