Muziki Ijumaa

RFI Kiswahili

Subscribe in Parasocial

Free on the App Store for iPhone, iPad and Mac. No subscription needed. Once it is installed, tap this link again and the show is yours. Already have it? Open in Parasocial.

About

Makala ambayo inakupa nafasi ya kujua masuala mbalimbali ya Muziki na Burudani. Ndani ya makala haya utapata taarifa za wanamuziki, historia zao na bila kusahau mahojiano na wanamuziki mbalimbali. Hii ni fursa ya pekee kwa wasikilizaji kujiliwaza baada ya kazi za juma zima kupitia burudani ya muziki. Makala ya muziki ijumaa pia itakuwezesha kufahamu wasanii kutoka sehemu mbalimbali duniani na kujua wanafanya nini.

Also on

Recent episodes

  • Kenya : Wachira Wa Karangatha na PricillaOct 2, 2026 · 10 min
  • Burudani ya Muziki Ijumaa na Billy Bilali Septemba 25 2026Sep 25, 2026 · 10 min
  • Burudani ya Muziki ijumaa na Billy Bilali Julai 24 2026Jul 24, 2026 · 10 min
  • Burudani ya Muziki Ijumaa na Mtangazaji asiependa makuu Billy Bilali Juni 12 2026Jun 12, 2026 · 10 min
  • Pata Burudani ya Muziki Ijumaa rfi Kiswahili na Billy BilaliMay 22, 2026 · 10 min
  • Burudani ya Muziki Ijumaa na Ali Bilali mtangazaji wako asipenda makuuMay 8, 2026 · 10 min
  • Makala Muziki Ijumaa, pata burudaniApr 24, 2026 · 10 min
  • Burudani ndani ya makala Muziki IjumaaApr 3, 2026 · 10 min
  • Msikie galacha wa Muziki wa Rhumba Fally Ipupa na Okelleo Max kutoka KenyaMar 13, 2026 · 10 min
  • Safari ya vibao vya Klasiki Kutoka Marekani hadi Afrika Mashariki na KatiJan 9, 2026 · 10 min

Website · RSS feed